Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Jana tarehe 13/09/2025 imefanyika Maulid adhimu ya Kuzaliwa kwa Mtume Wetu Muhammad (s.a.w.w) chini ya Taasisi ya Ahlul-Bayt (as) Jijini Arusha. Waumini wengi wamejitokeza Katika hadhara hii kusikiliza Sifa na Mafundisho bora ya Mtume Muhammad (saww). Mwenyezi Mungu awaangazi maisha yao wale wote walioandaa Majlisi hii na wote walishiriki katika Majlisi hii kwa ajili ya kuhuisha kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w).
14 Septemba 2025 - 11:44
News ID: 1726787
Tumekuwekea hapo chini picha zaidi za tukio hili
Your Comment